iqna

IQNA

utawala wa israel
Wizara ya Elimu ya Palestina imetangaza kuwa, tangu kuanza mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan mnamo Oktoba 7 2023 hadi mwanzo wa mwaka wa 2024; Wanafunzi 4156, walimu 321 na wafanyakazi wa shule wameuawa shahidi.
Habari ID: 3478230    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/22

Siasa
IQNA - Kutumia neno "Israel" katika kuashiria utawala wa Tel Aviv kumepigwa marufuku katika vyombo vya habari vya Iraq, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478213    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/18

Katika siku ya 14 ya uvamizi wa Israeli dhidi ya Ghaza, jeshi linaloikalia kwa mabavu la utawala wa Kizayuni liliendelea kushambulia kwa mabomu maeneo ya makazi ya watu, jambo ambalo lilipelekea makumi ya watu kuuawa shahidi, Kuendelea kushambuliwa kwa mabomu huko Gaza kumesababisha mashahidi 3,785 na zaidi ya 12,000 kujeruhiwa, wengi wao wakiwa watoto na wanawake.
Habari ID: 3477767    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/21

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, anasema ardhi ya Palestina si mahala pa utawala vamizi na ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3476254    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/15

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) -Walowezi wa Kizayuni wakiwa wanalindwa na askari wengi wa utawala haramu wa Israel walivamia uwanja wa Msikiti wa Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) siku ya Jumapili, na kufanya ibada za kichochezi za Kiyahudi katika eneo hilo takatifu la Kiislamu
Habari ID: 3475808    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/19

TEHRAN (IQNA)- Afrika Kusini imesisitiza kuwa sera zake dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel zinabaki pale pale.
Habari ID: 3471695    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/29

TEHRAN (IQNA)-Jeshi la Utawala haramu wa Israel limeua shahidi watoto zaidi ya 3,000 Wapalestina tangu ulipoanza mwamako wa pili wa Wapalestina maarufu kama Intifadha mwezi Septemba 2000.
Habari ID: 3471004    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/02

IQNA-Utawala wa Kizayuni wa Israel umepiga marufuku adhana ya Sala ya Alfajiri katika misikiti mitatu iliyo katika mji wa Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3470658    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/06

IQNA-Mtandao wa kijamii wa Facebook unalaumiwa kwa kufuta akaunti za wanaharakati na waandishi habari wanaopinga utawala haramu wa Israel na kutetea ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3470636    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/26